TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Anno Domini

The Typologically Different Question Answering Dataset

Anno Domini (maneno ya Kilatini yanayomaanisha: "Mwaka wa Bwana"; kifupi: AD au A.D.) ni namna ya kutaja miaka katika kalenda ama Kalenda ya Gregori au Kalenda ya Juliasi. 

Nini maana ya BK?

  • Ground Truth Answers: namna ya kutaja miaka katika kalenda ama Kalenda ya Gregori au Kalenda ya Juliasi

  • Prediction:

Katika lugha ya Kiingereza ni njia ya kawaida ya kutaja miaka kama "AD" (ambayo ni sawa na matumizi ya BK) au "BC" yaani "before Christ" (tazama KK); ni pia kawaida katika maandiko ya kihistoria yanayotumia lugha ya Kilatini.

Nini maana ya BK?

  • Ground Truth Answers: before Christnjia ya kawaida ya kutaja miaka kama "AD" (ambayo ni sawa na matumizi ya BK) au "BC" yaani "before Christ

  • Prediction: